Saturday, 20 May 2017

UREMBO WA MAGARI NA BAJAJI SOWETO MBEYA TZ

KARIBUNI SIGA CAR ACCESSORIES

1. Tnadesign maandishi mazuri kwa ajili ya kuweka ubavuni au mbele ya kioo cha gari au bajaji.

2. Tunaweka picha za sticker zilizochorwa kwa kompyuta na kukatwa na machine (plotter).

3. Tunaweka tinted kwenye vioo za kila rangi.

4. Tunaweka urembo wa tinted kwenye vioo wa kila aina na kila picha.

5. Pia tunatoa ushauri bure juu ya urembo wa gari au bajaji yako.

TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO NDANI YA MKOA WA MBEYA


No comments:

Post a Comment